Idara

ukarasa wa maana wa Wikimedia
Pitio kulingana na tarehe 12:20, 29 Julai 2022 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Idara''' (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: ''department'') ni sehemu ya wizara ya serikali, taasisi au asasi kubwa inayoshughulikia jambo maalumu. Muundo wake na taratibu za kazi ni mbalimbali, kadiri ya malengo. {{mbegu-sheria}} Jamii:Serikali')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Idara (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: department) ni sehemu ya wizara ya serikali, taasisi au asasi kubwa inayoshughulikia jambo maalumu.

Muundo wake na taratibu za kazi ni mbalimbali, kadiri ya malengo.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Idara kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.