17 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Aprili ni siku ya 107 ya mwaka (ya 108 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 258.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1894 - Nikita Krushchov, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti (1953-1964)
- 1897 - Thornton Wilder, mwandishi Mmarekani
- 1955 - Kristine Sutherland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1959 - Sean Bean, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1961 - Carlo Rota, mwigizaji filamu kutoka Kanada
Waliofariki
hariri- 858 - Papa Benedikto III
- 1680 - Mtakatifu Kateri Tekakwitha, mkazi asili wa Amerika Kaskazini na mmoja wa Wakristo wa kwanza wao
- 1711 - Kaisari Joseph I wa Ujerumani
- 1942 - Jean Perrin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926
- 1976 - Henrik Dam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1943
- 1986 – Bessie Head, mwandishi wa Afrika Kusini na Botswana
- 1994 - Roger Sperry, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 2008 - Aime Cesaire, mwandishi kutoka Martinique
- 2014 - Gabriel García Márquez, mwandishi kutoka Kolombia
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro na Ermogene, Simeoni bar Sabas na wenzake, Ustazhad na wenzake, Inosenti wa Tortona, Akasi wa Melitene, Pantagati, Donani, Elia, Paulo na Isidori, Robati wa Chaise-Dieu, Robati wa Molesme, Kateri Tekakwitha n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |