1941
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| ►
◄◄ |
◄ |
1937 |
1938 |
1939 |
1940 |
1941
| 1942
| 1943
| 1944
| 1945
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1941 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 1 Januari - Martin Evans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2007
- 1 Januari - Evaristo Marc Chengula, askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya, Tanzania
- 7 Januari - John Walker, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 9 Januari - Joan Baez, mwanamuziki kutoka Marekani
- 15 Januari - Captain Beefheart, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Januari - Dan Shechtman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2011
- 28 Januari - King Tubby, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 30 Januari - Dick Cheney, Kaimu Rais wa Marekani
- 8 Februari - Nick Nolte, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1 Machi - Robert Hass, mshairi kutoka Marekani
- 27 Machi - Ivan Gašparovič, Rais wa Slovakia (2004-2014)
- 29 Machi - Joseph Taylor, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1993
- 13 Aprili - Michael Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1985
- 28 Aprili - Barry Sharpless, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 29 Aprili - Yusef Komunyakaa, mshairi kutoka Marekani
- 24 Mei - Bob Dylan, mwanamuziki wa Marekani
- 31 Mei - Louis Ignarro, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 12 Juni - Chick Corea, mwanamuziki kutoka Marekani
- 26 Juni - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 30 Juni - Otto Sander, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 1 Julai - Alfred Gilman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
- 2 Agosti - Jules Hoffmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2011
- 17 Agosti - Ibrahim Babangida, Rais wa Nigeria (1985-1993)
- 20 Agosti - Slobodan Milosevic, Rais wa Serbia (1989-2000)
- 8 Septemba - Bernie Sanders, mwanasiasa kutoka Marekani
- 4 Oktoba - Anne Rice, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 13 Oktoba - Paul Simon, mwanamuziki
- 25 Oktoba - Anne Tyler, mwandishi kutoka Marekani
- 23 Novemba - Franco Nero, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 19 Desemba - Lee Myung-Bak, Rais wa Korea Kusini (tangu 2008)
Waliofariki
hariri- 4 Januari - Henri Bergson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1927
- 13 Januari - James Joyce, mwandishi kutoka Ueire
- 21 Februari - Frederick Banting, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923
- 5 Machi - Ludwig Quidde, mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1927
- 7 Agosti - Rabindranath Tagore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1913
- 14 Agosti - Maximilian Kolbe, padre mtakatifu kutoka Poland
- 14 Agosti - Paul Sabatier, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912
- 12 Septemba - Hans Spemann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935
- 18 Novemba - Walther Nernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920
Wikimedia Commons ina media kuhusu: