21 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Juni ni siku ya 172 ya mwaka (ya 173 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 193.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1002 - Mtakatifu Papa Leo IX
- 1774 - Daniel Tompkins, Kaimu Rais wa Marekani
- 1905 - Jean-Paul Sartre, mwanafalsafa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1964
- 1942 - Henry S. Taylor, mshairi kutoka Marekani
- 1945 - Aloysius Balina, askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania
- 1953 - Benazir Bhutto, mwanamke wa kwanza kuwa waziri mkuu nchini Pakistan
- 1973 - Juliette Lewis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1979 - Chris Pratt, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1527 - Niccolo Machiavelli, mwanafalsafa na mwanasiasa kutoka Italia
- 1591 - Mtakatifu Alois Gonzaga, mtawa wa Shirika la Yesu kutoka Italia
- 1908 - Nikolai Rimsky-Korsakov, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1914 - Bertha von Suttner, mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905
- 1957 - Johannes Stark, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919
- 1992 - Joan Fuster, mwandishi wa Kikatalunya kutoka Hispania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Alois Gonzaga, Meveni, Leufridi, Yohane Rigby, Yosefu Isabel Flores n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |