Holly Marie Combs
Holly Marie Combs (amezaliwa 13 Desemba, 1973)[1] ni mwigizaji na matayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani.
Holly Marie Combs | |
---|---|
Amezaliwa | 3 Desemba 1973 |
Kazi yake | Mwigizaji, mtayarishaji wa vipindi vya televisheni |
Miaka ya kazi | 1985–hadi sasa |
Ndoa | Bryan Travis Smith (1993–1997) David W. Donoho (2004–2011) |
Watoto | Finley Arthur Donoho Riley Edward Donoho Kelley James Donoho |
Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Piper Halliwell kwenye mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa na The WB, Charmed (1998–2006). Katikati mwa miaka ya 1990, Combs amecheza kama Kimberly Brock katika mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa hewani na TV ya CBS, Picket Fences (1992–1996), ambayo ilimpatia tuzo ya Young Artist Award.[2][3] Pia amepata kucheza katika filamu kama vile Sweet Hearts Dance (1988), Born on the Fourth of July (1989), Dr. Giggles (1992), Sins of Silence (1996), Daughters (1997) na Love's Deadly Triangle: The Texas Cadet Murder (1997). Combs kwa sasa anacheza kama nyota kwenye mfululizo wa TV unaorushwa hewani na TV ya "ABC Family", Pretty Little Liars - kama Ella Montgomery.
Filamu
haririMwaka | Filamu | Aliigiza kama | Maelezo |
---|---|---|---|
1985 | Walls of Glass | Abby Hall | |
1988 | Sweet Hearts Dance | Dens Boon | |
1989 | New York Stories | Helena | |
1989 | Born on the Fourth of July | Jenny Turner | |
1991 | Nobody Can Hear You Scream | Melinda Ashwood | |
1992 | Simple Men | Kim Fields | |
1992 | Dr. Giggles | Jennifer Campbell | |
1992 | Chain of Desire | Diana Richards | |
1995 | A Reason to Believe | Sharon Digby | |
1995 | Evil in the Basement | Karen Ford | |
2001 | Ocean's Eleven | Mwenyewe |
Tuzo
haririMwaka | Tuzo | Aina ya tuzo | Filamu | Matokeo | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
1993 | Young Artist Awards | Best Young Actress in a New Television Series | Picket Fences | alishinda | [2][3] |
1994 | Outstanding Youth Ensemble in a Television Series | aliteuliwa | [2] | ||
1995 | Best Performance by a Youth Actress in a TV Mini-Series or Special | A Perfect Stranger | aliteuliwa | [2] | |
1995 | Screen Actors Guild Awards | Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by an Ensemble in a Drama Series | Picket Fences | aliteuliwa | [2] |
2001 | RATTY Awards | Outstanding Ensemble in a Science Fiction Series | Charmed | aliteuliwa | [4] |
Outstanding Lead Actress in a Science Fiction Series | aliteuliwa | ||||
2002 | Best Science Fiction Lead Actress | aliteuliwa | [5] | ||
2003 | alishinda | [6] | |||
2007 | AOL TV | Top TV Witches | alishinda | [7][8] | |
2008 | alishinda | [9] | |||
2011 | E! Online | Top 10 Most Bitchin' Witches (Piper Halliwell) | alishinda | [10] |
Marejeo
hariri- ↑ "Holly Marie Combs: Biography". MSN Movies. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-24. Iliwekwa mnamo 2012-07-16.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 "Holly Marie Combs — Awards". IMDb.com. Iliwekwa mnamo 2007-04-05.
- ↑ 3.0 3.1 "Young Artist Award". youngartistawards.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-04. Iliwekwa mnamo 2008-05-06.
- ↑ Licuria, Robert (Juni 15, 2001). "7th Annual RATTY Awards Nominations". Google Groups. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The 9th Annual RATTY Awards – The Nominees". RATTY Awards. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-05-18. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Licuria, Robert (Julai 28, 2003). "9th Annual RATTY Awards – The Winners". Google Groups. Iliwekwa mnamo Septemba 5, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Best TV Witches". AOL TV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-23. Iliwekwa mnamo 2015-09-19.
- ↑ Sample, Kristin (Oktoba 22, 2007). "Top TV Witches". AOL TV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-09-05. Iliwekwa mnamo 2015-09-19.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Greenberger, Robert (Oktoba 31, 2008). "AOL Picks TV's Best Witches". Comic Mix. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-09-05. Iliwekwa mnamo 2015-09-19.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "6. Piper, Charmed from Top 10 Most Bitchin' Witches". E! Online. Julai 3, 2011. Iliwekwa mnamo Septemba 6, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya Nje
hariri- Holly Marie Combs at the Internet Movie Database
- Holly Marie Combs katika MySpace
- Holly Marie Combs on Twitter
- Kigezo:Facebook user