Ngekewa
Ngekewa | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Ngekewa wa kawaida (Hydrochoerus hydrochaeris)
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 2:
|
Ngekewa au kapibara (kutoka Kiing: capybara, jina la kisayansi: Hydrochoerus hydrochaeris, kutoka Kiyunani: ὑδροχοιρος) ni mgugunaji mkubwa wa Amerika ya Kusini.
Spishi
hariri- Hydrochoerus hydrochaeris, Ngekewa wa Kawaida (Capybara)
- Hydrochoerus isthmius, Ngekewa Mdogo (Lesser capybara)
Picha
hariri-
Ngekewa mdogo
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ngekewa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |