Ushindi (kutoka kitenzi kushinda, yaani kubaki; kwa Kiingereza: victory) ni neno linalomaanisha kufanikiwa au kufaulu katika matukio kama vile majaribu, mitihani, kesi, mapigano au mechi.

Johann Carl Loth: Mfano wa Ushindi.
Ufufuko kadiri ya Piero della Francesca, 1460

Katika Ukristo

hariri

Katika Ukristo ushindi mkuu ni ule alioupata Yesu kwa ajili ya watu wote dhidi ya mauti kwa kufufuka kwake.[1]

Tanbihi

hariri
  1. "Mauti imemezwa kwa kushinda. Ku wapi, ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, ewe mauti, uchungu wako? Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati. Lakini Mungu ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo ! (1 Kor 15:54b-56)"