Nenda kwa yaliyomo

Heming

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:36, 12 Machi 2023 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|[[Mhuri wa Mt. Heming.]] '''Heming''' (Balinge, Uswidi, 1290Turku, Ufini, 21 Mei 1366) alikuwa askofu mmisionari<ref name=SQPN>{{cite web|url=http://catholicsaints.info/blessed-hemming-of-abo/|title=Blessed Hemming of Åbo|publisher=Saints SQPN|date=17 May 2016|accessdate=6 July 2016}}</ref> kutoka Uppsala<ref name=WC/><ref name=BK>{{cite web|url=http://www.kansal...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mhuri wa Mt. Heming.

Heming (Balinge, Uswidi, 1290Turku, Ufini, 21 Mei 1366) alikuwa askofu mmisionari[1] kutoka Uppsala[2][3] kuanzia mwaka 1338 hadi kifo chake, aking'aa kwa juhudi za kichungaji: aliupyaisha sheria za jimbo lake kupitia sinodi aliyoiendesha, alihamasisha masomo kwa waklero, aliboresha ibada na kujenga amani kati ya watu [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia

Tanbihi

  1. "Blessed Hemming of Åbo". Saints SQPN. 17 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named WC
  3. "Hemming (1290-1366)". Biografiakeskus. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90728
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.