Nenda kwa yaliyomo

Kieravallan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:02, 28 Mei 2023 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.4)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kieravallan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Waeravallan. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kieravallan imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieravallan iko katika kundi la Kitamil-Kimalayalam.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieravallan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.