Nenda kwa yaliyomo

Oliver Cromwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:43, 23 Februari 2024 na Bushasha (majadiliano | michango) (Link suggestions feature: 2 links added.)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Picha ya Oliver Cromwell.

Oliver Cromwell (25 Aprili 15993 Septemba 1658) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa wa Uingereza. Anajulikana kwa kufanya jamhuri ya Uingereza kuwa na umoja na soko la pamoja.

Cromwell alikuwa mwanamapinduzi ambaye alikuwa akipinga utawala wa mfalme Charles I wa Uingereza ambaye alikuwa na uongozi mbaya ambao uliwapitisha wananchi WA Uingereza katika kipindi kigumu. Aliunga mkono bunge dhidi ya mfalme. Alitoa amri ya kijeshi ya kuvunja bunge katika utawala wake. Kitendo alichochukua Cromwell hakikufurahisha watu zaidi ya kuwachanganya mpaka leo.

Cromwell alikuwa wa kwanza Uingereza kutekelezwa Upuritani. Alikuwa analinda imani na maadili ya Anglikana ili ziheshimiwe na watu. Watu waliokwenda kinyume na dini hiyo aliamuru wakamatwe na kuteswa.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oliver Cromwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.