Nenda kwa yaliyomo

Veney Cameron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:23, 14 Septemba 2024 na Muddyb (majadiliano | michango) (Created by translating the page "Verney Lovett Cameron")
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Verney Lovett Cameron (1 Julai 1844 – 24 Machi 1894 ) alikuwa mpelelezi Mwingereza katika Afrika ya Kati na Mzungu wa kwanza kuvuka ( 1875 ) Ikweta Afrika kutoka bahari hadi bahari .

Wasifu

Alizaliwa mjini Radipole, karibu na Weymouth, Dorset. Akiwa kama mwana wa mchungaji Jonathan Lovett Cameron na Frances Sapte. Alijiunga na jeshi la wana maji la Uingereza 1857. Akahudumu katika kampeni ya Uhabeshi ya 1868. Aliajiriwa muda mrefu katika kukandamiza biashara ya utumwa ya Afrika Mashariki . [1]

Verney Lovett Cameron mnamo 1878

Marejeleo

Viungo vya nje

  • Works by Verney Lovett Cameron at Faded Page (Canada)
  • Works by Veney Cameron katika Project Gutenberg
  • Works by or about Verney Lovett Cameron at the Internet Archive
  1. Chisholm 1911. harv error: multiple targets (2×): CITEREFChisholm1911 (help)