Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Limuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Limuru ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili yaliyo katika kaunti ya Kiambu.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa mnamo Uchaguzi Mkuu wa 1963, mwaka ambapo Kenya ilipata uhuru. Mbunge wake wa kwanza alikuwa James Samuel Gichuru.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 James Samuel Gichuru KANU
1969 James Samuel Gichuru KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 James Samuel Gichuru KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 James Samuel Gichuru KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Jonathan Njenga KANU Mfumo wa Chama Kimoja.
1988 Samuel Ngige Mwaura KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 George Nyanja Ford-Asili
1997 George Nyanja NDP
2002 Simon Kanyingi Kuria KANU
2007 Peter Mungai Mwathi Ford-People
2013 John Kiragu Chege TNA
2017 Peter Mungai Mwathi Jubilee Party

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Karambani 27,369
Limuru 42,084
Tigoni 11,578
Ndeiya 26,892
Ngecha 12,318
Rironi 8,589
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wards
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Baraza la Utawala wa Mitaa
Bibirioni 6,575 Munisipali ya Limuru
Kamirithu 13,100 Munisipali ya Limuru
Limuru Central 4,096 Munisipali ya Limuru
Limuru East 4,945 Munisipali ya Limuru
Tigoni 6,082 Kiambu county
Ndeiya 10,266 Kiambu county
Ngecha 10,283 Kiambu county
Jumla 55,347
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]