Nenda kwa yaliyomo

Bunilizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bunilizi ni njia ya kubuni kazi ya kifasihi, hasa ya fasihi andishi ambayo haidai kuwakilisha ukweli wa kihistoria. Matawi ya bunilizi yaliyoenea sana karne ya 20 ni bunilizi ya kisayansi na bunilizi ya kinjozi.

Wamitila, K.W. 2003. Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Books.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bunilizi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.