Nenda kwa yaliyomo

Fransisko Fogolla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Francesco Fogolla)
Picha yake halisi.

Fransisko Fogolla (Montereggio di Mulazzo, Italia, 4 Oktoba 1839 - Taiyuan, Shanxi, China, 9 Julai 1900) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo na askofu mmisionari wa Kanisa Katoliki aliyefia dini yake nchini China wakati wa Uasi wa Waboksa.

Anaheshimiwa na Kanisa hilo kama mtakatifu mfiadini tangu tarehe 1 Oktoba 2000, alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II pamoja na wenzake 119 maarufu kama wafiadini wa China.

Kabla ya hapo alitangazwa na Papa Pius XII kuwa mwenye heri tarehe 27 Novemba 1946.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.