18 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Oktoba ni siku ya 291 ya mwaka (ya 292 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 74.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1127 - Go-Shirakawa, mfalme mkuu wa Japani (1155-1158)
- 1405 - Papa Pius II
- 1859 - Henri Bergson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1927
- 1878 - James Truslow Adams, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1894 - Harold L. Davis, mwandishi kutoka Marekani
- 1919 - Suzanne Bachelard, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1926 - Klaus Kinski, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 1960 - Craig Mello, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2006
- 1979 - Ne-Yo, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 707 - Papa Yohane VII
- 1417 - Papa Gregori XII
- 1503 - Papa Pius III
- 1562 - Mtakatifu Petro wa Alkantara, padri Mfransisko kutoka Hispania
- 1646 - Mtakatifu Isaka Jogues, S.I., padri mfiadini nchini Kanada
- 1667 - Fasilides, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1775 - Mtakatifu Paulo wa Msalaba, padri mwanzilishi wa shirika la Wapasionisti kutoka Italia
- 2007 - Lucky Dube, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Luka Mwinjili, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Asklepiadi, Prokulo, Eutisi na Akusi, Amabili, Mono, Petro wa Alkantara, Isaka Jogues n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |