1958
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| ►
◄◄ |
◄ |
1954 |
1955 |
1956 |
1957 |
1958
| 1959
| 1960
| 1961
| 1962
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1958 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Maonyesho ya Dunia mjini Brussels (Ubelgiji)
- 2 Oktoba - Nchi ya Guinea inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 26 Januari - Ellen DeGeneres, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Januari - Elluz Peraza, mwigizaji wa filamu kutoka Venezuela
- 16 Februari - Ice-T, mwanamuziki kutoka Marekani
- 7 Juni - Prince, mwanamuziki kutoka Marekani
- 17 Juni - Mohamed A. Abdulaziz, mwanasiasa wa Tanzania
- 2 Julai - Zbigniew Strzałkowski, mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 20 Julai - Billy Mays, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Agosti - Peter Eriksson, mwanasiasa kutoka Uswidi
- 16 Agosti - Angela Bassett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 18 Agosti - Madeleine Stowe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 29 Agosti - Michael Jackson, mwanamuziki
- 6 Septemba - Jeff Foxworthy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 31 Desemba - Defao, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1 Februari - Clinton Davisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 29 Mei - Juan Ramon Jimenez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1956
- 20 Juni - Kurt Alder, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950
- 22 Agosti - Roger Martin du Gard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1937
- 27 Agosti - Ernest Orlando Lawrence, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939
- 9 Oktoba - Papa Pius XII (1939-1958)
- 29 Oktoba - Zoë Akins, mwandishi kutoka Marekani
- 15 Desemba - Wolfgang Pauli, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: