Adolf von Baeyer
Mandhari
Adolf von Baeyer (31 Oktoba 1835 – 20 Agosti 1917) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1880 alifaulu kusanisi nili na kuendelea kuichunguza. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adolf von Baeyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |