Nenda kwa yaliyomo

AfriNIC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo ya AfriNIC
Logo ya AfriNIC

Kituo cha Habari ya Mtandao Afrika (kifupi chake kwa Kiingereza: AfriNIC yaani African Network Information Center) ni moja kati ya shirika la ugawaji wa na usajili wa anwani za IP ya Internet kwa ajili ya Afrika, yaani, Usajili Internet wa Kikanda.

Makao makuu ya AfriNIC yapo mjini Ebene, Morisi.

Hapo awali, anwani za IP za Afrika zilikuwa zikisambazwa na APNIC, ARIN, ana RIPE NCC. [1]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu AfriNIC kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.