Nenda kwa yaliyomo

Anasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gari la anasa.

Anasa (kutoka neno la Kiarabu) ni raha au starehe tele katika maisha ya binadamu.

Utafutaji wake mara nyingi unasababisha madhara kwake na kwa jamii, kuanzia afya ya mwili na ya nafsi, mbali ya maadili na maisha ya kiroho.

Ndiyo sababu dini mbalimbali zinahimiza kudhibiti tamaa na kuishi kwa adili la kiasi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anasa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.