Carles Puyol
Mandhari
Carles Puyol
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Hispania |
Nchi anayoitumikia | Hispania |
Jina katika lugha mama | Carles Puyol |
Jina la kuzaliwa | Carlos Puyol Saforcada |
Jina halisi | Carles |
Jina la familia | Puyol |
Nickname | Tarzan |
Tarehe ya kuzaliwa | 13 Aprili 1978 |
Mahali alipozaliwa | La Pobla de Segur |
Mwenzi | Vanesa Lorenzo |
Mchumba | Vanesa Lorenzo |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania, Kikatalunya |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | centre-back |
Muda wa kazi | 1996 |
Work period (end) | 2014 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Tuzo iliyopokelewa | Gold Medal of the Royal Order of Sports Merit |
Tovuti | http://www.carles5puyol.com/ |
Carles Puyol Saforcada (alizaliwa 13 Aprili 1978) alikuwa mchezaji mashuhuri wa mpira wa miguu wa Hispania ambaye alichezea klabu ya Barcelona F.C. mpaka kustaafu. Yeye alikuwa akicheza kama mlinzi wa kati lakini pia kama beki wa kulia, anachukuliwa kama mmoja wa walinzi bora wa kizazi chake.
Alikuwa nahodha wa Barcelona tangu Agosti 2004 hadi kustaafu kwake mwaka 2014, na alionekana kwenye mechi 593 za klabu.
Alishinda makombe 20 ikiwa vikombe sita vya La Liga na matatu ya Ligi ya mabingwa wa Ulaya.
Puyol alishinda makombe 38 katika nchi yake ya Hispania, na alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshinda Euro 2008 na Kombe la Dunia la 2010.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carles Puyol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |