Chris Tucker
Mandhari
Chris Tucker | |
---|---|
Tucker in March 2012 | |
Jina la kuzaliwa | Christopher Tucker |
Amezaliwa | Agosti 31 1971[1] Atlanta, Georgia, Marekani |
Aina | Blue comedy, black comedy, insult comedy, observational comedy |
Ndoa | Bi. Matthews mwalimu katika shule ya SMAMS |
Wavuti | Official website |
Christopher Tucker (amezaliwa 31 Agosti 1971) ni mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Smokey kwenye filamu ya Friday na kama Mpelelezi James Carter kwenye mfululizo wa filamu za Rush Hour. Tucker amekuwa mtumbuizaji wa uchekeshaji-wima mara kwa mara kwenye Def Comedy Jam katika miaka ya 1990. Vilevile amepata kuonekana kwenye The Fifth Element ya Luc Besson, Jackie Brown ya Quentin Tarantino, Silver Linings Playbook ya David O. Russell na Money Talks.
Filmografia
[hariri | hariri chanzo]Filamu
[hariri | hariri chanzo]Televisheni
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
1992 | Hangin' with Mr. Cooper | Rapper | |
Def Comedy Jam | Himself | 2 episodes | |
2001 | Michael Jackson: 30th Anniversary Special | Guest | |
Diary | |||
2006 | African American Lives |
Video za muziki
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Msanii | Uhusika |
---|---|---|---|
1994 | "Nuttin' But Love" | Heavy D & the Boyz | Pimp |
1995 | "California Love" | Tupac Shakur featuring Dr. Dre & Roger Troutman | Guest |
1997 | "Feel So Good" | Mase | Guest |
2001 | "You Rock My World" | Michael Jackson | Gangster |
2005 | "Shake It Off" | Mariah Carey | Car passenger |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "ChrisTucker.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-25. Iliwekwa mnamo 2017-08-22.
- ↑ 2.0 2.1 Chris Tucker – Movie and Film Biography and Filmography – AllRovi.com Archived Aprili 14, 2011, at the Wayback Machine. Allmovie.com. Retrieved on October 19, 2011.
- ↑ "Chris Tucker Live".
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chris Tucker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |