Nenda kwa yaliyomo

DeviantArt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
DeviantArt

DeviantArt ni jumuiya ya sanaa mtandaoni.

Makao makuu yako Hollywood huko mjini Los Angeles, California.[1] Mnamo mwaka wa 2008, DeviantArt ilikuwa na wageni milioni 36.[2] Mnamo mwaka wa 2010, DeviantArt ilikuwa na wapendwa milioni 1.4 na maoni milioni 1.5. Mnamo mwaka wa 2011, DeviantArt ilikuwa mtandao wa kijamii wa kumi na tatu kwa ukubwa.[3] Mnamo mwaka wa 2017, DeviantArt ilikuwa na wanachama zaidi ya milioni 25 na faili zaidi ya milioni 250.[4]

  1. "DeviantArt, Inc." (Kiingereza) Businessweek Investing. Accessed November 9, 2008.
  2. "DeviantArt attracts almost 40m visitors online yearly" (kwa Kiingereza). Siteanalytics.compete.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 10, 2011. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Matt Rosoff (Julai 27, 2011). "These 19 Social Networks Are Bigger Than Google+" (kwa Kiingereza). Businessinsider.com. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "DeviantArt - Career Page". deviantart.jobs (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 26, 2020. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]