Esiki wa Vienne
Mandhari
Esiki wa Vienne (pia: Hesychius, Isicius, Isique, Ysile; karne ya 5 - 490 hivi) alikuwa seneta halafu askofu mkuu wa Vienne, Ufaransa hadi kifo chake.
Watoto wake wote wawili, aliowazaa awali katika ndoa, wakawa maaskofu watakatifu: Avito wa Vienne na Apolinari wa Valence[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Novemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Bligny, Bernard (1979). Histoire des diocèses de France:Grenoble (kwa Kifaransa). Juz. la 12. Paris: Éditions Beauchesne. uk. 22.
- Charvet, Claude (1761). Histoire de la sainte église de Vienne (kwa Kifaransa). Lyon: Chez C. Cizeron.
- Chevalier, Ulysse (1879). Notice chronologico-historique sur les archevêques de Vienne: d'après des documents paléographiques inédits (kwa Kifaransa). Vienne: E.-J. Savigné.
- Duchesne, Louis (1894). Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule. Provinces du Sud-Est (tome premier) (kwa Kifaransa). Paris: Thorin et fils.
- Lucas, Gérard (2018). "Adon de Vienne, Chronique, especially the 'Tableau récapitulatif de la liste des évêques de Vienne jusqu'à Avit'". Vienne dans les textes grecs et latins: Chroniques littéraires sur l'histoire de la cité, des Allobroges à la fin du Ve siècle de notre ère (kwa Kifaransa). MOM Éditions. uk. 247-270. ISBN 9782356681850.
- Jean-Barthélemy Hauréau, Gallia christiana, vol. XVI, Paris, 1865, coll. 19 (online version) (Kilatini)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |