Nenda kwa yaliyomo

Evelyn Gitau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Evelyn Nungari Gitau ni mtaalamu wa kinga ya seli kutoka nchini Kenya katika Chuo cha Sayansi cha Afrika (African Academy of Science), na alitajwa kuwa Mshirika wa Next Einstein.[1]

  1. "Kenyan women scientists - FamousFix.com list". FamousFix.com. Iliwekwa mnamo 2024-08-24.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evelyn Gitau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.