Nenda kwa yaliyomo

Kosovare Asllani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kosovare Asllani

Kosovare Asllani (alizaliwa 29 Julai 1989) ni mtaalamu wa mchezo wa mpira wa miguu kutoka Uswidi ambae anachezea ligi ya Hispania daraja la Primera katika klabu ya Real Madrid [1] na timu ya taifa ya wanawake ya Uswidi. Jina la utani akiitwa "Kosse" na pia huitwa "The Queen" na washabiki wa timu ya Real Madrid, Asllani ni mshambuliaji mahiri, aliye na kasi sana na mbinu katika mchezo wake. Uwezo wake katika mpira umemfanya alinganishwe na mchezaji hodari sana aitwaye Zlatan Ibrahimović, ambae yeye ndie nahodha wa timu ya taifa ya wanaume Uswidi.[2][3]

  1. "https://twitter.com/cd_tacon/status/1151837630939705345". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-03. {{cite web}}: External link in |title= (help)
  2. "Asllani "snodde" Zlatans målrekord". www.aftonbladet.se (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  3. "uefa.com - UEFA Women's C'ship". archive.ph. 2013-06-24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.