Mala mogodu
Mandhari
Mogodu ni chakula Kusini mwa Afrika. Mogodu ni mchanganyiko wa serobe iliyokatwakatwa (utumbo) na mala (utumbo) inayotolewa kama supu mara nyingi na papa moto. Mala (kwa Kitswana/Kisotho) ni utumbo wa kawaida kama vile ng'ombe au kondoo.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20120301092025/http://www.disa.ukzn.ac.za:8080/DC/IzApr83.1684.8071.000.000.Apr1983.4/IzApr83.1684.8071.000.000.Apr1983.4.pdf
- ↑ https://web.archive.org/web/20120301092025/http://www.disa.ukzn.ac.za:8080/DC/IzApr83.1684.8071.000.000.Apr1983.4/IzApr83.1684.8071.000.000.Apr1983.4.pdf
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |