Man in the Mirror
“Man in the Mirror” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Bad | |||||
Imetolewa | 18 Januari 1988 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1987 | ||||
Aina | Soul | ||||
Urefu | 5:18 (toleo la albamu) 5:03 (haririo la single) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Siedah Garrett Glen Ballard | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Man in the Mirror" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Siedah Garrett na Glen Ballard na kutayarishwa na Michael mwenyewe akiwa sambamba kabisa na Quincy Jones. Wimbo huu ulipata kushika nafasi ya kwanza nchini Marekani wakati unatolewa mnamo 1988. Wimbo unatoka katika albamu yake ya saba ya mwaka wa 1987, Bad.
Maelezo kuhusiana na wimbo
[hariri | hariri chanzo]Huu ni miongoni mwa nyimbo maarufu za Jackson na uliwahi kuchaguliwa kuwa kama Rekodi ya Mwaka katika kipindi cha ugawaji wa tuzo za Grammy Awards. Wimbo huu ulipata kupigwa sana kwenye maredio/matv na kuweza kushika nafasi ya juu kabisa katika chati za Billboard Hot 100 kwa wiki mbili. Kibao hiki kilipata sifa za wastani nchini Uingereza wakati kinatoka, na kiliweza kushika nafasi ya 21 na kuifanya iwe single kutoka katika albamu Bad kutofika kwenye UK Top 20 katika kutolewa kwa mara ya kwanza. Eti baada ya kufa, kunako 5 Julai 2009, kwa kufuatia habari za kifo cha Jackson, wimbo umepata kushika nafasi ya 2 kwenye chati rasmi za UK Singles Chart.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1988) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australia | 39 |
Austria | 10 |
Kanada | 6 |
Ujerumani | 23 |
Uholanzi | 13 |
Ireland | 3 |
Israel | 2 |
UK Singles Chart | 21 |
US Billboard Hot 100 | 1 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
Australian ARIA Singles Chart | 8 |
Austrian Singles Chart | 17 |
Danish Singles Chart | 12 |
Irish Singles Chart | 3 |
New Zealand Singles Chart | 9 |
Norwegian Singles Chart | 15 |
Spanish Singles Chart | 50 |
Swedish Singles Chart | 19 |
Swiss Singles Chart | 22[1] |
UK Singles Chart | 2 |
UK R&B Chart | 1 |
US Billboard Hot Digital Songs[2] | 3 |
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "Man In The Mirror" (Single Mix) – 5:03
- "Man In The Mirror" (Album Mix) – 5:17
- "Man In The Mirror" (Instrumental) – 5:03
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-21.