Maria wa Kleopa
Mandhari
Maria wa Kleopa (kwa Kigiriki Μαρία ἡ τοῦ Κλωπᾶ, María hē tou Clōpá) alikuwa mwanamke Myahudi aliyemfuata Yesu Kristo hadi msalabani huko Kalivari (Yoh 19:25)[1].
Haieleweki vizuri kama alikuwa binti au mke wa huyo Kleopa. Wengine wanadhani ndiye aliyetajwa kati ya wanawake waliokwenda kaburini Jumapili asubuhi na mapema kadiri ya Mk 16:1 kama Maria wa Yakobo (bin Alfayo) kwa maana ya mama yake[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 24 Aprili[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/49100
- ↑ S. S. Smalley, Dean Emeritus of Chester Cathedral, England. "Mary," New Bible Dictionary, 1982 p. 793.
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria wa Kleopa kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |