Nenda kwa yaliyomo

Muziki wa rock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendi ya muziki wa rock

Muziki wa rock ni jina la kutaja aina ya muziki wa pop ambao mara nyingi, lakini siyo siku zote, unapigwa kwa gitaa la umeme, gitaa la besi, ngoma, na kuimba. Muziki huu ulianza miaka ya 1950 huko Marekani kama muziki wa rock and roll na baadaye ukabadilika kupitia mitindo mbalimbali hasa nchini Uingereza na Marekani. Muziki huu ulichukua staili mbalimbali toka kwenye muziki kama Jazz, Klasiki ma muziki wa watu weusi wa Marekani kama Blues.


Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa rock kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.