Ordu
Mandhari
Ordu ni jina la kutaja mji na bandari uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Jimbo la Ordu. Kiasili jina lina maana ya "jeshi" kwa Kituruki (lakini limetokana na Kiingereza cha kisasa yaani "horde"). Mji una wakazi takriban 136,000, kwa mujibu wa sensa walioifanya katika mwaka wa 2008. Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kituruki) Travel Ordu and Northern Anatolia, Ordu Trade, OrduTicaret Archived 19 Juni 2009 at the Wayback Machine.
- Pictures of the city
- (Kituruki) local information website
- (Kituruki) and another one Archived 13 Septemba 2008 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) fan site of Orduspor
- Kotiora (Ordu)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ordu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |