Orodha ya visiwa vya Tanzania
Hii ni orodha ya visiwa vya Tanzania.
Upande wa Tanganyika
[hariri | hariri chanzo]Visiwa vya maziwa yanayoundwa na mto Kagera
[hariri | hariri chanzo]Kisiwa cha Chabalewa * Kisiwa cha Kwankoro * Kisiwa cha Mubari * Kisiwa cha Nyakaseke
Visiwa vya Ziwa Nyasa
[hariri | hariri chanzo]Kisiwa cha Lundo * Kisiwa cha Mbamba
Visiwa vya ziwa Tanganyika
[hariri | hariri chanzo]Kisiwa cha Izinga * Kisiwa cha Kamamba * Kisiwa cha Malesa * Kisiwa cha Manda * Kisiwa cha Mikongolo * Kisiwa cha Nkondwe * Kisiwa cha Ulwile
Visiwa vya Ziwa Viktoria
[hariri | hariri chanzo]Barega *Bihila * Bisuvi *Biswe * Buganbwe * Bugeru * Bukerebe * Bukurani * Buluza * Bumbire * Burubi * Busonyi * Busyengere * Butwa * Buzumu * Bwiru * Chakazimbe * Charaki * Chienda * Chihara * Chikonero * Chinyeri * Chitandere * Dunacheri * Dwiga * Galinzira (Kagera) * Galinzira (Ukerewe) * Gama * Gana * Goziba * Ijirambo * Ikuru * Ikuza * Iriga * Iroba * Irugwa * Iruma * Itami * Itemusi * Ito * Izinga *Juguu * Juma * Kagongo * Kamasi * Kaserazi * Kasima * Kategurwa * Kiamugasire * Kiau * Kibinda * Kihombe * Kinamogwishu * Kinyanwana * Kiregi * Kireta * Kishaka * Kitua * Kivumba * Kome * Kulazu * Kuriro * Kweru * Kweru Mutu * Kwigari * Kwilela * Liagoba * Liegoba * Lyegoba * Luanji * Lukuba * Lyamwenge * Mabibi * Mafunke * Maisome * Makibwa * Makome * Makove * Malelema * Maremera * Masakara * Masheka * Masuha * Mazinga * Mgonchi * Miganiko * Mijo * Morova * Mraoba * Msalala * Mtenga * Mtoa * Mtoto * Musira * Mwengwa * Nabuyongo * Nafuba * Nakaranga * Namatembe * Namguma * Ndarua * Nyabugudzi * Nyaburu * Nyajune * Nyakanyanse * Nyakasanga * Nyamasangi * Nyambugu * Nyamikongo * Nyanswi * Raju * Ramawe * Rubisho * Rubondo * Runeke * Ruregaja * Rwevaguzi * Saanane * Sara * Sata * Seza * Shuka * Siawangi * Sina * Siza * Sizu * Songe * Sosswa * Sozihe * Tefu * Ukara * Ukerewe * Usumuti * Vsi * Vianza * Wambuji * Yarugu * Yodzu * Zeru * Zimo * Zinga * Ziragura * Zue
Visiwa vimepangwa kuanzia kaskazini kwenda kusini
Visiwa upande wa kaskazini ya Tanga
- Kisiwa cha Kirui (kwenye mpaka wa Kenya)
- Kisiwa cha Gozini (Mkinga, Tanga)
- Kisiwa cha Gulio (Mkinga, Tanga)
Karibu na Jiji la Tanga
- Kisiwa cha Mwambamwamba (upande wa kaskazini wa Tanga mjini)
- Kisiwa cha Toten (Tanga mjini)
- Kisiwa cha Ulenge (pia Kisiwa cha Ndege, Bird Island - kaskazini ya Tanga mjini)
- Kisiwa cha Yambe, pia Jambe (Tanga mjini)
- Kisiwa cha Karange (Kusini ya Tanga mjini)
Kati ya Tanga na Dar es Salaam
- Kisiwa cha Kwale (Tanga)
- Kisiwa cha Maziwi (inatazama Pangani)
- Kisiwa cha Sangi (karibu na Mkwaja, Pangani)
- Kisiwa cha Mshingwi (inatazama Bagamoyo)
Visiwa vya Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam
- Kisiwa cha Bwejuu (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Fungu Yasini (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Kendwa (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Mbudya (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Pangavini (Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam)
- Kisiwa cha Sukuti (inatazama Shungubweni, Mkuranga)
Funguvisiwa la Mafia
- Kisiwa cha Mafia
- Kisiwa cha Barakuni
- Kisiwa cha Chole
- Kisiwa cha Jibondo
- Kisiwa cha Jina
- Kisiwa cha Juani
- Kisiwa cha Niororo (pia Nyororo, funguvisiwa la Mafia)
- Kisiwa cha Shungumbili
Kwale (Kisiju) na visiwa vilivyo karibu naye
- Kisiwa cha Kwale (Pwani)
- Visiwa vya Chokaa
- Kisiwa cha Fanjove cha Kaskazini
- Kisiwa cha Hatambura
- Kisiwa cha Koma
- Kisiwa cha Pemba Juu
Visiwa mbele ya mdomo wa mto Mohoro
Funguvisiwa la Kilwa
Karibu na Mtwara
Funguvisiwa la Zanzibar
[hariri | hariri chanzo]Kijiografia funguvisiwa la Zanzibar huhesabiwa na Unguja, Pemba na Mafia pamoja na visiwa vidogo vilivyo karibu. Hapa tunaorodhesha visiwa vilivyo kisiasa sehemu za Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
- Unguja, pia Zanzibar tu
- Kisiwa cha Pemba
Visiwa vilivyo karibu na Unguja
[hariri | hariri chanzo]- Kisiwa cha Bawe
- Kisiwa cha Changuu
- Kisiwa cha Chapani
- Kisiwa cha Chumbe
- Kisiwa cha Daloni
- Kisiwa cha Kibandiko
- Kisiwa cha Kwale
- Kisiwa cha Miwi
- Kisiwa cha Mnemba - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Murogo Sand Banks
- Kisiwa cha Nyange
- Kisiwa cha Pange
- Kisiwa cha Popo
- Kisiwa cha Pungume
- Kisiwa cha Sume
- Kisiwa cha Tele
- Kisiwa cha Tumbatu - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Ukombe
- Kisiwa cha Uzi - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Vundwe
Visiwa vilivyo karibu na Pemba[1]
[hariri | hariri chanzo]- Kisiwa cha Fundo - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Funzi
- Kisiwa cha Jombe
- Kisiwa cha Kashani
- Kisiwa Hamisi
- Kisiwa Kamata
- Kisiwa Mbali
- Kisiwa Ngombe
- Kisiwa cha Kojani - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Kokota - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Kuji
- Kisiwa cha Kwata Islet
- Kisiwa cha Makoongwe - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Matumbi Makubwa
- Kisiwa cha Matumbini
- Kisiwa cha Misali
- Kisiwa cha Njao
- Kisiwa cha Panani
- Kisiwa cha Panza - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Shamiani - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Sumtama
- Kisiwa cha Uvinje - (pana wakazi)
- Kisiwa cha Vikunguni
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pemba - The clove 1:100,000, Map & Guide, 2013, Dept. of Surveys and mapping, Chake-Chake