Nenda kwa yaliyomo

Petro Zhao Mingzhen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Petro Zhao Mingzhen (Beiwangtou, 1839 hivi - Beiwangtou, 3 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na mdogo wake Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi.

Bila kujali usalama wao, walikuwa wanajitahidi kusaidia wanawake na watoto Wakristo kukimbia, na ndipo walipouawa[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 3 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/60520
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.