Nenda kwa yaliyomo

Pier Gerlofs Donia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pier Gerlofs Donia.

Pier Gerlofs Donia aliishi kuanzia mwaka 1480 hadi 1520. Alikuwa jitu lenye miguu ambalo inasemekana alikuwa na urefu wa zaidi ya futi 7. Huyu alipigania uhuru wa Friesland. Donia pia alikuwa akifahamika kama Grutte Pier, ambayo ina maana ya "Kijana Mkubwa", kwa lugha ya Kifrisia, au Grote Pier, ambayo ina maana sawa tu kwa lugha ya Kidutch. Huyu tena alikuwa haramia. Jitu hili lilipigana vita dhidi ya watu wa kutoka Uholanzi na Ujerumani, na Waburgundia. Katika mapambano yake makubwa ya baharini, aliziteka nyara meli zipatazo 28, na akaua takriban watu 500 ambao wote aliowakamata kama mateka. "Kijana Mkubwa" halafu baadaye waliita "Msalaba wa Wadutch".

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pier Gerlofs Donia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.