Rap opera
Rap opera au hip hopera ni mfululizo wa nyimbo za hip hop katika aina ya opera, imetokana na wazo la rock opera.
Kama jinsi mtangulizi wake, rap opera inaelezea hadithi moja baada ya nyingine ya muziki kwa vipande-vipande, ambamo inamhusu muhusika yuleyule au wahusika walewale. Rap opera yaweza kuwa uzoefu kamili wa usikivu wimbo, au ushirika mwingine wa kimuziki jukwaani, vitabu vya hadithi za ajabu, au aina nyingine ya kisanaa. Inahusisha sana vijana, wenye kujitolea, inachezwa sana na wale wenye kujitolea na kufanywa sana na makundi-siolipwa kuliko maemsii wakulipwa.
Pale mwimbaji wa R&B R. Kelly alipoulizwa kwenye IFC namna gani anaelezea mfululizo wake wa "Trapped in the Closet", Kelly alielezea kwamba ile kama hip hopera au opera ya kimuziki, lakini hiyo kwa sasa ni refu sana kuuita kama wimbo.[1] Mnamo 2001, MTV wakatoa kwa mara ya kwanza kavideo kajina la Carmen: A Hip Hopera, -liyoongozwa na Robert Townsend na nyota wa humo ni Beyoncé Knowles na Mekhi Phifer. Volume 10 pia -metoa albamu iliyokwenda kwa jina la Hip-Hopera mnamo 1994.
Mifano
[hariri | hariri chanzo]- Young Killer—mfululizo wa Sinaga Swagger—1-4 (2016-2020)
- R. Kelly' mfululizo wa Trapped in the Closet
- Lin-Manuel Miranda kwenye In the Heights
- Public Enemy kwenye He Got Game
- Carmen: A Hip Hopera
- Prince Paul kwenye A Prince Among Thieves
- Deltron 3030 ya Deltron 3030
- Sable and Batalion kwenye J.O.B., the Hip-Hopera
- Rapa na mtayarishaji Dr. Dre ameelezea kwamba albamu yake ya tatu, Detox, yaweza kuwa rap opera.
- Michael Tippett kwenye New Year ametumia rap katika idadi kadhaa ya vipengele.
- Ugly Duckling kwenye Taste the Secret
- Lupe Fiasco kwenye The Cool
- "Libera Me From Hell" kwenye Tengen Toppa Gurren Lagann
- Ciara kwenye single yake ya "High Price" kutoka katika albamu yake ya tatu "Fantasy Ride"
- Kanye West kwenye "Last Call" kutoka katika "College Dropout"
- Des Bishop kwenye Rap Éire
- Jay-Z kwenye American Gangster
- Coolio kwenye *Gangsta's Paradise
- Wyclef Jean kwenye Apocalypse
- Chris Goslow kwenye Rapera
- Mariah Carey kwenye "Betcha Gon Know"
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-18. Iliwekwa mnamo 2009-12-11.