Nenda kwa yaliyomo

Uchambuzi wa kihisabati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa matumizi ya namba kwa ajili ya kuunda maumbo mbalimbali.

Uchambuzi wa kihisabati ni tawi la hisabati. Inatazama mahusiano, mifululizo na mifululizo jumuishi. Hayo yote yana sifa ambazo zinasaidia katika uhandisi[1].

Gottfried Wilhelm Leibniz na Isaac Newton ndio walioendeleza sehemu kubwa ya misingi ya uchambuzi wa kihisabati.

  1. Hartmut Seeger. Mathematik. Königswinter: Tandem Verlag. uk. 17. ISBN 9 783833 107870.
      . http://eom.springer.de/M/m062610.htm.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchambuzi wa kihisabati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.