Valle d'Aosta
Mandhari
Valle d'Aosta (kwa Kifaransa:Vallée d'Aoste; kwa Kiswahili: Bonde la Aosta) ni mkoa wenye kujitawala wa Italia. Ni mkoa mdogo kuliko yote kwa eneo (km² 3,263) na kwa idadi ya wakazi (126,935) na kwa sababu hiyo hauna wilaya ndani yake.
Wakazi wengi wanaongea Kiitalia, lakini pia lahaja maalumu ya Kifaransa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiitalia) Tovuti rasmi
Mikoa ya kawaida | |
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
Mikoa yenye katiba ya pekee | |
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Valle d'Aosta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |