Wilfrido
Mandhari
Wilfrido (pia: Walfredo au Galfrido; Pisa, Toscana, karne ya 7 - Monteverdi Marittimo, Pisa, 15 Februari 756) alikuwa mtawala wa kabila la Walombardi akawa mmonaki wa Toscana, Italia ya Kati aliyeanzisha monasteri mbili baada ya kuishi katika ndoa na kuzaa watoto watano[1].
Baada ya kuongoza miaka 10, alipofariki, mmojawao aliyekuwa padri akawa mwandamizi wake.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Pius IX alithibitisha heshima hiyo mwaka 1861.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Alban Butler, Il primo grande dizionario dei santi secondo il calendario, edizioni Piemme, 2001.
- Emanuele Repetti, Dizionario Geografico Fisico della Toscana, Firenzelibri (collana Memorie italiane. Studi e testi), 2005.
- Lodovico Antonio Muratori, Dissertazioni sopra le antichità italiane Volume 5
- Ugolino della Gherardesca, "I della Gherardesca, dai Longobardi alle soglie del 2.000", Edizioni ETS, 1995.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |